FT:MECHI 5 ZA PL :LIVERPOOL 1-1 BURNLEY ,WEST BROM 0-0 WEST HAM, NEWCASTLE UNITED 2-1 STOKE CITY,WATFORD 0-6 MANCHESTER CITY,HUDDERSFIELD TOWN 1-1 LEICESTER CITY

/LIV BUR-27'criss wood anakuwa anakabwa na anasogeza mpira kidogo kwa Arfield na anaunganishia kushoto golikipa anaukosa 1-0 ,30' emre can anaupiga mpira  kwenye boksi unamkuta Salah anayegeuka na kuudrive mpira kidogo na kuunganisha na kuwa goli tamu kabisa linaingilia kushoto  1-1

/WEST BROM WEST HAM 0-0 15' Gareth Barry anatia hatari kubwa baada ya kichwa kuparuza mwamba kwa juu kulia Obiang na kupiga shuti  la  umbali mrefu na kugonga mwamba

/NEWC STK -19' Cristiani  atsu anapokea grosi safi kabisa  toka upande wa kulia na kuunganisha  kushoto kwa mguu wa kulia na linakuwa goli la  kwanza 1-0, 55' SHAQIRI anapiga shuti kali nje ya boksi na kuwa goli goli la  kwanza la  msimu mchezo unakuwa 1-1,67' alyeipa ushindi juzi Newcastle na leo  ameifungia Newcastle  na kutokana na kona 2-1 lascellies

/WATF MCI- 28' kelvin de bruyne anachukua faulo na kuupiga kwenye boksi umamkuta aquero anayeunganishia kwa kichwa nafikiria kuna ofside  Ila ishachelewa 1-0 ,31' Silva anauteremsha mpira kulia  unamkuta aquero na goli na anamalizia na inakuwa 2-0
38' Aquero anatoa pasi  safi kwa Jesus anayekuwa amezidi kidogo ila official aoni na anaunganisha  kushoto mwa goli kunakofanya 3-0  David Silva anapiga grosi otamendi anafunga 4-0,  82' aquero anafunga hatrick yake  ya 6 katika pl 5-0 anaweka mpira kushoto unagusa mwamwa na kuingia kidogo,89' Sterling analetwa chini kwenye penati boksi na kuambiwa na Guardiola apige mwenyewe na anashinda  6-0

/HUD LEIC 47' depoitre anapata mpira na kumgeuka beki na kuja kulia na kupiga shoti kushoto Kasper ajaweza kuzuia 1-0, penati!! kwa Leicester 51' Vardy anapiga shuti Kali upande wa kushoto na golikipa anasimamia kulia  na kuweka suluhu mchezo 1-1

Maoni