WAFUNGAJI :FC METZ 1- 5 PSG .CAVANI 31'(2), NEYMAR 69',MPAPE 58',LUCAS 86'(PSG) RIEVERE 31(METZ)| HUMBURG 0-2 LEIPZG NABY KEITA 66' TIMO WERNER 75' | .........................17' 0-0 PSG ana wastan mzuri katika mchezo wa usiku pia klabu ya Metiz inajaribu kufanya mashambulizi ya kushitukiza
HAMBURG VC LEIPZG 0-0 37'
45' refa kakataa penati kwa leipzg alionesha penalty alaf mfumo wa VAR unaotumika bundesliga ukakaaa na kusema ni kona Timo Werner alianguka kumbe ni kona refa akaona Kama ni penati ......ni mapumziko 0-0 Humburg vc Leipzg
FC METZ vc PSG
Metz wamesawazisha goli la Cavani lilofugwa dakika ya 31' goli LA metz limetoka kwenye grosi safi kabisa baada ya dakika tano tu baada ya goli la kwanza 36' 1-1 Rievere
40' kadi ya njano dhidi ya rafu ya Julian draxler kwenye nusu ya uwanja.
43' pasi safi ya Neymar imemkuta Edson Cavani katika nafasi ya kuotea
Mapumziko HT FC METIZ 1-1 PSG PEVERE 36' -CAVANI 31'
Hamburg leipzg 48' faulo nje kidogo ila ubovu wa kupiga kwa klabu ya hamburg ilikuwa mbovu Sana
Fc metz PSG Areola Alphonse amefanya pasi mbaya ikibakia kidogo Rievere kufunga mbili dakika ya 47 tu ni nafasi kubwa sana pevere Albakia na goli Areola amekuwa akipendewa kutumiwa zaidi msimu huu golini ukilinganisha na K.Trapp
Kadi nyekundu kwa EKTTO amemchezea rafu Kali aina ya takaling kylian Mpape
75' hamburg Leipzig timo Werner anatoka kuanzia nusu uwanja anatafuta njia Kati ya mabeki wawili na anapachika bao la pili katika mchezo ubao unasomeka 0-2 kijana mjerumani anazidi kuteka dunia kwa kipaji chake
58' FC METZ PSG Mpape anafungia goli lake la kwanza katika jezi mpya ya Paris ST -German pia ni mchezo wake wa kwanza
69' FC METZ PSG Neymar JR anafunga goli la tatu kwa wababe hawa wa ligue 1 anapokea pasi safi na kupiga kushoto ambako kipa raia wa japani anajitahidi kuutoa ila anaukos inakuwa faida kwa mbrazili huyu cavani anakusanya magoli yake mawili kwa siku sasa ana magoli Saba kwenye msimu huu mawili mbele ys ederson cavani pasi safi kutoka kwa Meunier kwa kiungo Lucas na amemtoka golikipa licha ya mpira kugonga mwamba kabda ajaingizi mpira ndani ya neti dakika ya 86'
Maoni