3' Cris Wood amefunga kwa kutumia mguu wa kushoto kutoka nje ya boksi mpira unaingia katikati ya boksi
Golikipa alikuwa ayupo golini pia C.Palace ameshidwa kufany chochote kurudisha goli chanse nzuri ya Darn kumalizia tu na kichwa kapigia nje amebaki na goli
Nafasi nzuri ya c.benteke kabaki na golikipa na kushidwa kufunga goli lake la kwanza La msimu Burnley wana akili kwenye ulinzi wamelinda mashambulizi makali yaliofanywa na Crystal Palace
Maoni