Commententor; barthaprosper live ;
1' Italia anaanza mpira anaanza mashambulizi kwa nyuma na Belloti anapata grosi kutokea upande wa kushoto na kulenga nche kidogo ya wavu
2' + 3' Italia wanapoteza mpira Na kuukaba ila wanasababisha faulo ya kwanza pia Israel wanapata chase ya kwanza ya mchezo
4+5' conti yuko of side Israeli wanapata mashambulizi kushoto ila wanapoteza
10' +11' Italia wana umiliki mpira kwa nguvu na akili pale kushoto kulia Kati mabeki na viungo wanafanya stahiki de rosi anapiga shuti Kali pale kuanzia 25 yardi
14'+15 + 16' faulo kwa Israeli inapigwa inaokolewa kwa upande wa Italia continue anarudisha kati de rosi conti ansupokea verati anaupeleka mbele candeva auna unarudi Kati insigne verati de rosi na kona ya kwanza
18 ' - 20' Israeli wanao faulo ya Italia Buffon hakufanyiwa vizuri alsukumwa na wote
22' belotti anapiga kichwa safi kuuridisha kati mwamunzi anaamuru ni kitendo cha kuotea
Grosi Safi kabisa ilikuwa Kama kaotea vile ilimchomoka bufon dakika hii ya 25 ikiwa ni 0 kwa 0
27' kona safi kwa sasa ITALIA Ana kona 4 kwa 0 ISRAEL
30'🙌 bila kwa bila nusu saa huku de rosi akipiga shuti Kali Italia Ana 71& umiliki wa mpira kwa 29 %
35' nahodha wa israel anamsukuma twanswema msosi kwa darmian kwenye boxi la Israel refa anamwambia Darmian cheza
37' kadi ya njano ya mchezo kwa Israeli alyevaa koen 🔶
40' shoti Kali kutokea upande wa kushoto shuti Kali La koen kutafuta goli kwa upande wa Israel hila Buffon yuko hodari 😮 koen anafunga koli la kuotea baada ya kona kuokolewa na kupuruzwa mbele tu unakutana nae na anafunga
45' kazi safi ya golikipa kuzuia shuti Kali la insigne
MAPUMZIKO ( HALF TIME) 0-0
67% - WASTANI WA UMILIKI WA MPIRA -33%
45-47' Italia na mashambulizi ya kutisha candeva immobille na shoti linaokolewa Na mwanzo mzuri kwa Italia kipindi cha pili
48+50' CONTI ⬇⬆ZAPACOSTA usajili mpya wa Chelsea kutokea Torino miaka minne kasaini
GOLI GOLI ITALIA WANAAONGOZA GROSI SAFI INAHITAJIKA KWA ANTONIO CANDEVA IMMOBILE ANAPIGA KICHWA SAFII KABISA 53'
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
56'+ 57' kwa umiliki wa mpira Italia 68% kwa 32% natcho anatoa unakuwa wa urushaji wa upande wa italia
60' grosi safi kwa insigne kutoka kulia ina mkosa zappacosta
61' MILKISON _NJE CHAIM INGIA ( ISRAEL)
64' shuti la verati linapata deflection na kutoka na kuwa Kama kona mashambulizi yakushitukizwa yanaanza kwa Italia ila inazuiliwa kabisa
67' zappacosta shuti linabigwa zuio kidogo Israeli kujifunga
68' benbeyaour anaingia katika mchezo wake wa 100 kwa taifa na rekodi yake ya kuwa wa kwanza
69' zapacosta anasababisha kona ya 9 kwa kipindi cha pili na 15 kwa ujumla
72' kona namba 16 kwa Italia barzagali anapata shoti la target ......belotti na alweka rekodi mfungaji bora Italia na magoli 26 katika ligi kuu italia
78' Insgne anapiga grosi safi anakosa kwa bahati mbaya ujakaaa mguuni vizuri Sana inaonesha
83' zappacosta anasubiria kwa hamu kufanya apearence yake ya kwanza ya Chelsea jumamosi hiii
85' immobile anajiangusha na anapokea kadi njano 🔶 kwenye boksi
86' ANTONIO CANDREVA (NJE) NDANI BERNEDIESKI
87' + 88' Bernedieski shuti Kali kabisa linaenda nje kidogo na si mwelekeo wa goli
89' VERRATI NJE
90+ 2 faulo kwa zappacosta kwenye nusu ya ulinzi wa italia
90+3' mechi imeisha Italia anapata ushindi mnyororo baada ya grosi safi iliyopigwa na canderva na kumiziwa na kichwa na Immobile
Maoni