LALIGA:BARCA KAPONEA TUNDU LA SINDANO

klabu ya Getafe imeitingisha klabu ya Barcelona

klabu hiyo katika mchezo wake wa Leo walikuwa kuweka goli wavuni baada ya grosi kurudishwa mguuni kwa shirbosaki kupiga shuti nje kidogo ya boksi volley shot ambayo iliipa klabu hii iongoze kwa bao 1-0

61' Denis Suarez alipiga shuti Kali nje ya boksi na kuingia kushoto mwa  wavu. na akitokea sabu

83' paulnho alipata pasi safi kutoka kwa Leo messi na kuwatoka mabeki na kupiga shuti Kali liloingilia kushoto ex-spurs kiungo aliwapa ushindi na alitokea wachezaji wa akiba

BARCELONA waneshinda michezo yote msimu huu asilimia 100 GETAFE 1-2 BARCELONA

Maoni