LALIGA: GRAIZEMAN KAWEKA HISTORIA BINAFSI, ATLETICO WAANZA KWA KISHINDO

Klabu ya A.Madrid imecheza mchezo wake wa kwanza uwanjani Wanda Metropolinto dhidi ya klabu ya Malaga
A.Madrid walipata ushindi mwembamba wa bao moja kwa bila

mshambuliaji mfaransa Correa almtafutia nafasi kwa kufanya ujuzi upande wa kulia nakuachia grosi ya chini ambapo mfaransa mwenzake Graizeman aliunganisha kwa shuti kali liloingilia upande wa  kulia 

Antonie Graizeman amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli  uwanjani Wanda metroppolinto na wa Atletico Madrid

Maoni