Kiungo wa Kati Eme Can kashakubaliana kutua klabuni juventus pindi mkataba wake utakapomalizika Sergei aurier alijiunga name klabu ya Spurs licha take Manchester United pia Wilfred Bony amerudi liberity stadium Huku Divock origi akitimkia klabuni wolfsburg pia klyian mpape alijiunga na PSG Kwa mkopo Huku Barkley akikosa Dili Na Chelsea zapacosta kutoka Torino na Danny Drinkwater Hakuna mbali kutua Chelsea Chamberlain alijiunga Liverpool kutoka Arsenal Dili la Alexi Sanchez na Jonny Evans wa West Brom hayakufua maji kabisa dirisha hili Thomas Lemar aliikatalia Arsenal na kubaki Monaco Hulu Liverpool akijipanga Kwa Vita hiyo January ,Rennato Sanchez Hakuwa mbali kujiunga name Licha Layla Clement kunako swansea, kierian Gibbs alijiunga na West Brom akitokea Arsenal, Nabykeita kutoka leipzg hadi lverpool, Sam clucas kutoka Hull mpaka swaswea, Burke Katua West Brom ,Juan forth katua Spurs
Maoni