KISU SASA APEWA BURNLEY

Klabu ya Crystal palace inatarajia kuchukua uamuzi mgumu kufuta kazi Frankie de Boers Kama timu yao haitashinda mchezo wake wa jumamosi , tengia kocha huyo aingie kwenye ligi hajashinda mchezo ata mmoja akiwa amepoteza yote dhidi ya Terriers ,Liverpool ,Swansea  mchezo wa kumwangali kocha huyo dhidi ya Burnley

Pia jarmie vardy ajutii kukataa kataa ofa ya Arsenal hasa ukilinganisha kushinda kwao kwa taji la FA anachoamini ni kwamba medali moja ya ubigwa wa ligi kuu uingereza haitoshi

Maoni