kikosi cha ligi ya mabigwa wiki ya kwanza kimetoka leo , kinachotarajia kuwakosha wengi ni baada ya Lionel messi kutemwa wakati naye kafunga kama Ronaldo ila kwa uwanja mshambuliaji mreno alionekana sana akiwania mpira mara nyingi zaidi na kushambulia zaidi tofauti na alvyokuwa mwenzake jumanne usiku Hary kane aliisaidia spurs kushinda mchezo wao wa kwanza akifunga kwa mashuti makali ambayo amna golikipa angeweza kuzuia Ederson Cavani amewekwa kwenye timu baada ya kuangamiza celtic msomaji atakumbuka goli lake la pili lilivyokuwa la kiutaalam zaidi baada ya kupiga kichwa upande wa kushoto cha kudrive Mpira ukaingilia kulia upande wa juu
mhisipaniola Cezar Azphiliqueta hakuwa mbali kufunga goli na kuweka clean sheat ikiyomuweka kwenye kikosi hiki akipachika kwa pasi safi kutoka kwa kiungo raia wa hispaniola fabregas akiunganisha kwa kichwa pia Davide Zappacosta ametumia jina Costa baada ya kupachika bao maridadi ambalo wiki hii huenda likawa goli bora la mwezi alipiga kama grosi na kujaza wavuni kutokea yardi 25 hakuwa mbali kumuwekea batshuayi akifunga la pili na la sita John stones amekuwa kama beki wa kati akifunga mawili na kusaidia timu kutoruhusu goli na nahodha Sergio Ramos hajakosekana kwani alifunga goli na kutoruhusu goli kimmich amewekwa kama kiungo wa kulia akitoa pasi ya bao na goli morouni felaini kushoto akifunga kwa kichwa na kutoa pasi kwa rashford na pardo akiwa katikati na Allison golini akisaidia timu kutoruhusu goli na kuokoa michomo mikali ya Atletico Madrid ....kikosi hicho akiitaji ukosoaji kimepagwa kwa ustadi na falsafa za mchezo
Maoni