"Kufundisha Bayern ni kitu kizuri na ni furaha Kama nkifundisha na nitafurahi Sana timu hiyo ata na hivyo mke na mtoto wangu wanakaribia kwenda Munich maana najenga nyumba yangu " maneno ya kocha wa TSG 1899 Hoffenham walitambaza kipigo cha mabao mawili kwa sifuri dhidi ya Bayern Munich yaliyofugwa yote na Uth kocha huyo mwenye miaka 28 bado ajafugwa au kuruhusu timu yake Kufugwa na Bayern Munich ametoa suluhu mara moja na kushinda mara mbili
Maoni