ITALIA WAPATA KIPIGO SANTIAGO BERNABEU, WOODBURN AIVUSHA WALES

Kiungo isco magoli yake ya kipindi cha awali dakika  13,40 na la Morata yalitosha kusambaza kipigo cha 3 Kwa 0 dhidi ya Italian,   mshambuliaji Bern woordburn  aliwapa ushindi Wales wabao moja Kwa bila dakika ya 73 dhidi ya Austria  katika  mchezo wake wa kwanza kimataifa 

Maoni