kiungo na mshambuliaji Mhispaniola Isco katia sahihi kuitumikia klabu ya Real Madrid mpaka 2022 pia Marcelo ameongeza mkataba kusalia klabuni hapo mpaka 2022
Mshambuliaji Raia wa Tanzania na Dernmark anayekipigia RB Leipzig ameongeza mkataba klabuni hapo mpaka 2021 Jana alitoa pasi ya bao kwa forseberg.
Maoni