INFO: MOURHINO ANA HISTORIA MBAYA NA KOEMAN, CHELSEA WATASAFISHA NYOTA KWA ARSENAL, TOTENHAM WAMELOGWA

kocha José mourhino ajawai shinda dhidi ya kocha Ronald koeman wamekutana Mara 5 kuna suluhu mourhino msimu wa mwisho. koeman ameshinda mara  moja na suluhu 4 walipokutana na Mourhino ( Chelsea + Manchester united)  mchezo utapigwa huko old Trafford Rooney anatarajiwa kupewa mapokezi makubwa klabuni Manchester united .

Mechi nne  za mwisho zilizochezwa Stamford Bridge kati ya Chelsea Arsenal Chelsea ameshinda zote na kuruhusu moja mechi 2 za mwisho mashindano yote Arsenal kashinda moja na suluhu 1 zote Wembley mwaka huu

klabu ya spurs ijashinda mchezo wowote wa ligi nyumbani Wembley amepoteza alama  5 wakati msimu uliopita alipoteza alama 4 tu. Ni msimu pekee ambapo Totenham amekuwa akipoteza alama nyingi nyumbani

Maoni