Rog Hodgson amerejea klabuni Crystal Palace ambapo miaka 50 imepita alitumikia klabu hiyo akiwa kwenye benchi amesema "nafuraha ni muhimu kurejea tena hapa klabuni" ametia sahihi ya miaka miwili tu katika mikandarasi yake
Steve Parish anaona kama ni mrithi bora wa Frankie De Boers
Maoni