Kocha wa RP Reipzg Ralph Hasenhurttl amekiri kuwa Werner ni fundi wa mpira amesema" Timo ni mzuri na mtaalamu wa magoli .ni mchezaji atakayetupa mengi yakucheka" mchezaji huyu alichangia goli moja katika ushindi wa bao mbili kwa sifuri ugenini dhidi ya Hamburg pia Naby Keita alifunga
Maoni