klabu ya Hannover inayoshiriki ligi kuu ujerumani almaarufu kama bundesliga imekwea juu ya kilele tangu mwaka 1969 baada ya ushindi wa mabao mawili kwa sifuri klabu hii iliyopanda daraja imepata ushindi huo dhidi ya klabu ya Humberger
Klabu ya AFC Bournemouth imewakunguka kutoka nyuma klabu ya Brighton na Hove albiniom kwa mabao mawili kwa sifuri . klabu ya brighton ikiwai kupata bao dakika ya 55 baada ya pasi ya gross kumfikia March bao lilisawazishwa na surman haikuchukua mda baada ya Ibe kumpa pasi ya bao Defoe dakika ya 71 na kutumia nguvu kufunga bao la ushindi timu ya Eddie howe imeshinda mechi yake ya kwanza
Maoni