Manchester City inatarajiwa Kukutana na Chelsea jioni mchezo wa ligi kuu uingereza city amefunga goli 21 Msimu huu Hulu ikiwa ijapoteza mchezo wowote Chelsea wanatarajiwa kumchezasha mshambuliaji wao alyepiga Hatrick dhidi ya stoke pia magoli Robo Tatu ya cghelsea yamefugwa na kuchangiwa na Alvaro Morata pia aquero anaweza kutwaa mfungaji bora wa muda wore city Huku Guarduola akiwa amepoteza michezo yote miwili alyokutana na conte Kama akipoteza utakuwa mchezo wa tatu anapoteza Kwa kocha mmoja tayari ameshapoteza Kwa conte
Maoni