Kiungo wa zamani wa Everton na anaeitumikia kwa sasa West Brom Albinion alyejiunga nayo msimu mzima anatarajia kulingana na michezo aliyocheza Ryan Giggis 632 jumamosi hii Kama atacheza dhidi ya West ham United kwa sasa amecheza michezo 631 ya ligi kuu uingereza
Maoni