Grosi safi ya Tadic upande wa kushoto na Hennessey kuucheza na ukamkuta Steven Davis na kuupeleka kushoto na kuwa goli pekee la Siku
Mchezaji aliyeonesha kiwango ni Lotfus-cheak akijenga nafasi nyingi zaidi ya yoyote kwa upande wa palace
Romeu na Lemina wameishinda kiungo ya palace wakiwa wanakata mashambulizi ya palace wakianzisha na kuonekana wako vizuri ; lemina ndo mchezaji aliyefanya vuzuri katika mchezo wa leo
Crystal Palace imeweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza katika ardhi ya Uingereza kucheza michezo mitano wajashinda ilipofika dakika ya 78 wamevunja rekodi ya dakika 438 ya Newcastle
Crystal palace ratiba - MAN CITY ,MAN UNITED ,CHELSEA, NEWCASTLE ,WEST HAM,TOTTENHAM HOTSPURS ina uwezekano wa kutopata chochote
imepata mechi ngumu na wanahitaji kusaidia Sam Alarydes alipata alama kwenye timu hizo baadhi je itawezekana kwa Roy hodgson
Maoni