FIFA imetangaza viwango vya ubora katika timu za taifa UJERUMANI yaongoza imetwaa pointi 1606 kutoka 1549 kumi bora wako hivi
1:UJERUMANI -1606
2:BRAZIL -1549
3:PORTUGAL -1389
4:ARGENTINA -1325
5:BELGIUM -1265
6:POLAND-1250
7:SWITZERLAND-1210
8:FRANCE-1208
9:CHILE -1191
10:COLOMBIA-1191
katika viwango hivyo tunaongeza timu saba zifike 17 kumi bora hao hapo juu
11:HISPANIA -1184
12:PERU -1103
13:WALES-1089
14:MEXICO-1085
15:ENGLAND-1056
16:URUGUAY-1043
17ITALY-1035
kuna msemo afrika unasema "in Africa no harry" na FIFA tuko hivyo hivyo timu ya kwanza imeanza kuchomoza kwenye wa 30:MISRI ikiwa na point 815 inafuatiliwa na Tunisia wana alama 810 alaf Senegal wana alama 774 juu ya misri kuna mzungu Mholanzi (Netherlands) wa 29 ana alama 819
kwa wazee Afrika ya mashariki UGANDA 71: Alama 486 anatia hamasa kubwa huku wazee TANZANIA Tukitoka nafasi 120 mpaka 125 alama za mwisho zilikuwa 259 za sasa alama 256
Maoni