Mshambuliaji mholanzi Vincent Janhsen anatarajia kutua klabuni Fernebache kwa mkopo ameifungia klabu ya spurs mabao 6 katika mechi 38 alizovaa jezi ya Tottenham Hotspur
Beki na kiungo muaustria wa Bayern Munich atakuwa nje kwa kipindi kisichojulikana kutokana na jerahaa alyopata .
FIFA wanajiandaa kumpa azabu nzito kiungo wa spurs baada ya kuonesha kidole cha Kati video zilionesha kwa refa ila mchezaji mwenyewe anasema kwa walker wachezaji hao walkuwa wanachezea spurs msimu uliopita kabda ya walker kuhamia Manchester city
Maoni