FA WAMJIBU LIVERPOOL, PICHA YA KIKOSI CHA ARSENAL HII

Baada ya Liverpool kuamua kukataa rufaa juu ya maamuzi ya kumuonesha kadi nyekundu msenegal Sadio Mane kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Manchester City  FA wamesema adhabu ya kutohudhuria na kucheza mechi tatu za ligi iendelee na kamwe hawataipunguza Mane aligongana na Ederson kipa wa Manchester city

Pia kikosi cha Arsenal kimepiga picha ya utambulisho msimu huu

Maoni