DYABALA MOTO WA JUVENTUS

Mshambuliaji Paulo Dybla wa Juventus na timu ya taifa ya Argentina amefikisha michezo 100 akiwa na juventus huku akifunga hatrick  kuhaikisha juventus wana asilimia 100 ya kuanza msimu uwanjani mapei katika ushindi wa 3 moja akiwa juventus amefunga mara 52 akiwa ana wastani ya michezo miwili goli moja na mawili yanabaki 

Maoni