klabu ya Borrusia Dortmund imeilaza klabu ya Cologne mabao matano kwa bila mshambuliaji Abubeyang aljikuta wavuni mara mbili ,philiph mara mbili.
klabu hiyo ijaruhusu golini wavuni msimu huu ikiwa mara ya kwanza tangia msimu wa 2001-02.
imecheza michezo minne na clean sheat nne. Sasa Dortmund wanaongoza ligi hiyo
Mchezaji Ousmane Dembele anatarajiwa kukosa uwanjani kwa kipindi cha miezi mitatu na nusu au minne baada ya maabara kutoa majibu alipata majeraha na kushidwa kuendelea katika mchezo wa kwanza kuanza kwenye kikosi cha Barcelona katika ligi kuu Hispania katika ushindi wa bao 2 kwa 1 ugenini dhidi ya Getafe
Maoni