Diego Costa ametua uwanja wa ndege hapa London haijulikana kwamba mpango wake ni kurejea Chelsea au la akitokea kwao Brazil iliripotiwa kuwa hakuwa na mpango wa kurejea Chelsea
Klabu ya Leicester city ikekataliwa kumsajili Adrien Silva wa sporting CP na FIFA baada ya kuomba kibali cha usajili kwa FIFA inasemekana walichelewa kwa sekunde 12
Refa Jonathan Moss ameteuliwa kushika kisu cha kuchinja Kati ya mchezo wa MANCHESTER CITY dhidi ya LIVERPOOL
Alexis sanchez amejumlishwa kwenye kikosi cha Europe league Cha arsenal Nathaniel clyne imethibitishwa atakuwa nje ya kwa kipindi jurden klop alithibitisha
Maoni