DANIELS KASHINDA GOLI BORA LA MWENZI tarehe Septemba 08, 2017 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Kiungo wa Bournemouth CHARLES DANIEL'S baada ya siku chache kuongeza mkataba klabuni hapo amepata zawadi ya goli bora la mwezi wa nane alilolifunga dhidi ya Manchester city Maoni
Maoni