CRYSTAL PALACE AKIPONA , MAN UNITED MOTO NA LUKAKU BASI

Crystal  palace wamecheza Danika 540 bila ya kupata  goli Leo wanatarajia kukutana na kikisi cha Jose mourhino kilichofunga magoli 10 Old Trafford Romelu  lukaku  amefunga  magoli 3 na kusaidia moja akiwa Old Trafford . 

Maoni