COSTA NNJE NNJE , PERISC MPAKA 2022

Mshambuliaji Diego Costa ameondolewa sehemu yake ya kupaki gari alipofika Chelsea amekosa sehemu yake ya kupaki gari ina maana hawamtaki hapo klabuni.

Ivan Perisic  ameridhia kuongeza mkataba klabuni inter Milan mpaka mwaka 2022

Maoni