Mshambuliaji wa Manchester united Romelu lukaku goli lake ushindi dhidi ya Ugiriki lilitosha kuwavusha na kuwa taifa la kwanza la ulaya kufuzu kombe la dunia mwakani ushindi huo wa 2 kwa 1 Belgium ilijipatia bao la kuongoza kupitia Jan vertrogen wa Tottenham Hotspur alikuwa Kama nahodha wa mchezo.
Maoni