Tiketi za kombe la dunia huenda zikaingia sokoni siku za karibuni imefichuka kuwa tiketi kwa watu wasio raia wa Urusi ada ya kuingia uwanjani kuanzia pauni 70 hadi 829
Ina maana kwa wale watakaotoa pauni 70 ni kuanzia laki mbili mpaka mbili na elfu kumi ,na wale wa pauni 829 itaanza milioni mbili mpaka milioni mbili na laki nne na elfu arobaini na Saba
Itategemea stoke exchange mahesabu yangu ni tofauti kuanzia 2700 mpaka 3000
Maoni