BARUA PEPE YENYE OFA YA WILLY CAVALNHO

Klabu ya west ham united baada ya kukanusha kutokuwa na ofa kwa mchezaji willy Carvalnho sasa barua pepe zilizotumika zimepatikana

Klabu ya Paris st German imeripotiwa kuwa na vyanzo vingi vya kuingiza kipato zaidi ya Manchester united ndo maana walifanya usajili mkubwa pia Mpape amekiri kuwa alikuwa abaki Monaco 'nlikuwa najua nabaki Monaco ila kuna tendo ama kitendo kilibadilisha hayo " mchezaji huyu amejiunga na Klabu ya PSG kwa mkopo

Maoni