FT: MANCHESTER UNITED 4-0 EVERTON

live kutokea old Trafford -Manchester
MDA:18:00 EAT
mitandao ya kijamii: /MUNEVE
4'matic anampa pasi Valencia kutoka kushoto kwenya kulia  anayeunginisha kwa shuti kali  linaloingia golini 1-0
lukaku anabaki na kipa baada ya ujuzi kutoka mabeki analenga nje

45' Tom Davis anachukua mpira anampa Rooney save safi sana kwa upande wa Degea

60' Lingard anaingia Rashford anatoka
63' Ashley Williams kadi ya njano
64' mata anachukua faulo kwenye msitari wa boksi anagonga mwamba
66' Tom Davies anatoka Sadro Ramirez anaingia
76' Gana anatoka lewin anaingia
76' mata anatoka  Herrera anaingia
80' Eric baily kadi ya njano
81' Wayne Rooney anatoka kelvin mirralas  anatoka
83' Fellaini anatoa pasi  kwa lukaku kutokana na Williams kukosea kutoa pasi Mkhitarian anaunganisha pasi ya lukaku kwenye kulia mwa  goli
87' mkhtarian anatoka martial anaingia
89' lukaku anaupata mpira wa mguuni na kuunganisha na kuwa goli

92+3'martial. anafanya ujuzi mpira unamkuta schdrellin mkononi inakuwa penati na anafunga kwa penati
mechi imeusha

Maoni