FT: CHELSEA 0 -0 ARSENAL

live kutokea Stamford Bridge - London
mda :15:30 EAT
mitandao ya kijamii  :/CHEARS

CHELSEA X1- Courtous, Azphiliqueta, David luiz ,Cahill (C),Moses, Kante,Fabregas,Alonso,William,morata, pedro

ARSENAL X1- Cech, mustafi,konciely (C) ,Monreal
xhaka,Ramsey, Bellerini,Kolasinic,iwobi,welbeck,Lacazette

15' Ramsey ana press kwa belerini grosi ya chini anashidwa kumalizia vizuri lacazette anapiga shuti Courtous  anaukamatia

21' fabregas anaachia through kwa Pedro anajikuta yuko na cech anashidwa kumalizia

41 Ramsey ana drible kwa mda anaingia kwa boksi anachopu kulenga kulia  inagonga mwamba inarudi laczete anashidwa kumaliza 
best chance ya mchezo
SECOND HALF
Pedro anatoka Bakayoko anaingia 45'
kadi ya njano kwa David Luiz 50'
kadi ya njano kwa Alvaro Morata 64'
Alexi Sanchez kaingia Lacazete katoka
welbeck  katoka Girood kaingia
William katoka hazard kaingia
iwobi katoka  enemy kaingia
David  luiz kapewa kadi nyekundu baada ya rafu Kali dhidi ya kolasinic

mechi imeisha 0-0

Maoni