UEFA YANUKIA KAZI KUFANYIKA USIKU KUTENGANISHA WATU , MCHEZAJI BORA KUJULIKANA

LEO NI LEO ASEMAYE KESHO NI MUONGO, ndo maneno yalioko mjini kwa wakati huu leo kunatarajiwa kutolewa tuzo za mchezaji bora wa uefa ikiwa kuna watatu  C.RONALDO,L.MESSI ,G.BUFFON mshindi atajulikana baadaye  pia makundi ya uefa yanatarajiwa kupagwa hadharani droo leo hiyo hiyo huku kocha wa napoli akimtamani mourhino kwa hali na mali

Maoni