ROONEY KAZI SAFI ASTAAFU,ANGARA

WAYNE ROONEY ametangaza rasmi kustaafu soka la kimataifa na kuacha rekodi safi katika uzi wa uingereza mabao 53 kati ya mechi 119 alifikia uamuzi huo juzi jumanne  huko huko alitimiza mabao 200 katika ligi kuu uingereza alifunga bao la utangulizi lilodumu mpaka dakika ya 82 aliposawazisha rehem sterling wa man city amefunga mabao 2 kati ya mechi 2 za pl alizoichezea klabu ya man city hata hivyo bado timu ya taifa ya uingereza inamhitaji mshambuliaji huyo kinara wa mabao huko manchester united

Maoni