MAN CITY USO KWA USO NA EVERTON

Klabu ya Everton inatarajiwa kukutana na manchester city kwenye mchezo wa ligi everton huenda wakaendelea kupata huduma bora ya wayne rooney pamoja na kiungo mpya sigurdson timu zote zilishinda mchezo yao ya awali ya kufungua dimba

Maoni