klabu ya Barcelona imeanza vyema mchezo wa kufungulia ligi kwa mabao 2 kwa 0 goli la kujifunga na sergio roberto ,wapinzani wao Real Madrid nao waliimyuka deportivo la coruna kwa mabao matatu kwa 0 ikiwemo lile lilopigwa pasi 44 kabda ya goli la casemiro, huko ujerumani wikiendi ilienda poa kwan klabu ya bayern munich ilianza vyema kwa ushindi wa 3 kwa 1 huku lewandoski akitimiza mabao 61 kwa mechi 66 za bundesliga akiwa na bayern dortmund alishinda kwa 3 kwa 0 magoli ya marc batra atletico madrid aliokota suluhu
Maoni