"SAFARI YA TANZANIA ITAKUWA MWANZO MZURI "

Wayne Rooney amekiri kwamba safari yake ya kwanza itarejea tena Everton wiki hii atakapocheza dhidi ya Gor Mahia "safari ya Tanzania itakuwa mwanzo mzuri " Rooney amesema hayo  wanapojianda  na safari yakuja Tanzania wiki hiii

Maoni