WAYNE ROONEY KAJIUNGA RASIMI KLABUNI EVERTON

Klabu ya Everton imearifu kumrejesha nyumbani mshambuliji Wayne Rooney kwa mikandarasi ya miaka miwili  klabu ya Everton ilimuunza  Manchester united alikoacha rekodi ya kufunga magoli mengi akiipotelezea mbali rekodi ya sir Boby charton baada ya kupchika faulo dakika ya mwisho ya mchezo dhidi ya stoke city draw ya goli 1 kwa 1 .....ameandka kupitia mtandao wake 'ni mda muafaka wa kurejea klabuni Everton nasubiri kuungana na Ronald koeman .......... makala na barthaprosper

Maoni