Klabu ya Valencia inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania maarufu kwa jina laliga imemnasa kipa namba mbili wa Juventus NETO MURARA kipa huyo alicheza fainali ya coppa Italia katika ushindi wa mabao 0 kwa 2 dhid ya lazio mwezi may na mechi kadhaa za ligu kuu ya Italia na barthaprosper
Maoni