Roque mesa katua Swansea city akitokea las palmas inayoshiriki ligi kuu Hispania......, fernando Torres katia sain ya mwaka mmoja kusalia klabuni Atletico Madrid....., nahodha wa zaman wa klabu ya sevilla inayoshiriki ligi kuu Hispania ametua klabun Leicester na kusain mkataba wa miaka 4 kuitumia klabu hiyo iliyoshinda taji mwaka 2015-2016,....
Maoni