Klabu ya Man city imefanikiwa kukubaliana na Totenham kuhusu mauzo ya Kyle Walker dau lake linakaribia kufikia £50M, vipimo vya afya kesho ijumaa
Klabu ya Ac Milan inawataka Bonnuci ambaye juventus anataka £40M huku juventus na city wanamtaka pia adre Belloti dau Torino anataka ni £100 klabu zachina na Chelsea na man united wanahitaji huduma yake
Joe hart huenda akajiunga na West ham kwa mkopo kwa siku zijazo maongezi yako mbali sana ...hizo ndo tetesi za jioni hii jingine tukutane breaks zitakapotokea
Maoni