TETESI ZA SOKA ASUBUHI HII; MAN UNITED ATAKA WAWILI HUKO ITALIA, ROMA AFUFUKA ATAKA KUKIMBIZA KLABU KUBWA, KOCHA SWANSEA APATA PRESHA"wamngangania sana sasa" BOLASIE AFUNGUKA KUHUSU TZ

Ac Milan wamerudi sokoni Zamu hii wanampango wakumngoa leornado Bonnuc ili ajiunge nao,Chelsea na city zinamtaka.

Januzaj katua Real Socieded  na kupewa jezi namba 8 mgongoni pia lotfue cheak nae kapewa namba 8 kunako C Palace

Ivan perisc kakubali kujiunga na man united wakala naye yuko tayari inter wabakaribia kukubali sharti united atoe 48£M kwa 28 umri wa mshambuliaji wa pembeni huyo.

Roma wanamtaka kumsainisha mkataba mpya Radja Naiglolan Manchester united anamtaman kwa karibu huduma yake mbeligium huyo

Roma wanakaribia kutoa ofa kubwa kwa mabigwa wa uingereza 2015-16 foxes kumtaka mshambuliaji wa pembeni Ryard Mahrez huenda ,Mnaigeria huyo aliomba kuhama Leicester may mwaka huu baada ya msimu kuisha.

Kocha wa Swansea Paul clement amekiri Jana usiku maulizio na ofa kwa Gyf Sigurdson yalitisha Sana kiasi cha kuogopesha kumpoteza mchezaji huyo katika timu hiyo ya wales

Kijana wa Everton amekiri kwamba safari kwa Tanzania ndoto yake ya kila siku imeanza kutimia ...mchezaji huyo alyenunuliwa toka palace msimu  uliopita ...amesumbuliwa na majeraha Sana atakuwa anavaa jezi namba 7 kutoka 14 ile ya awali

Maoni