Klabu ya Paris st -Germn imefanya mazungumzo na beki wa zamani wa Juventus ili kuwatumikia msimu ujao lakin iripotiwa avles atatia saini city , Dan alves anatamani Sana kucheza chini ya kocha pepe kama alvyowai kumnoa alves kule catalunaa......Dan alves aliigomea kuendelea kuichezea juventus ujao na kuomba kuondoka ndani ya msimu wake katika klabu hiyo alitwaa coppa de Italia na serie A na na kusaidia timu kuweka rekodi ya mataji sita mfululizo na kucheza fainali ya ligi ya mabigwa Ulaya ndo mafanikio alyopata alves klabuni juventus
Maoni