TETESI- OFA YATOLEWA KWA MNAIGERIA

Baada ya klabu ya west ham kuvunja mazungungumzo na race ya kumtwaa mnaigeria kelechi Iheanacho sasa mabigwa wa 2015-16 wamtaka. Foxex wametoa ofa ya £25M kwa mnaigeria huyo...
.....swali kwenye Soka Leo ' unadhani Mashabiki wa man united wamekuwa wakimfuatilia lukaku kuachana na Alvaro morata ?. Everton wamesema hawajasain mkataba na man united kwa mchezaji huyoo.

Maoni