TETESI NA USAJILI WA LEO KUANZIA SAA 11 UKO WOTE KAMA 10 HIVI IKIWEMO BARCELONA WAMNYATIA BEKI WA CHELSEA ,CITY KAPIGWA TEKE NA PSG NILIYOSEMA YATOKEA, ATUA JUVENTUS BAADA YA JAMES KUMNYANGANYA NAMBA YA JEZI
HuiEverton wanakaribia kumpiku Tottenham kwa mshambuliaji wa bouthmouth Joshua King
Dan alves kasaini mkataba wa miaka miwili unaotarajiwa kuwa na thamani ya pauni 25 milioni
Licha ya beki huyo kuwa na uwezekano mkubwa wa kujiunga na city
Kiungo Mbrazil Douglas Costa amejiunga na Juventus kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja kutoka Bayern Munich baada ya James Rodriguez kuwasili klabuni Munich
Stoke city wamekata ofa iliyopelekwa na West ham ya pauni 20 million hii ni ya pili baada ya 15 kwa Mark Autonovic
Bellerini Ana pa kwenda Sasa Barcelona yaanza kumnyatia mhispaniola Azphiligueta
stoke city wanafikiria kumsajili kwa mkopo Zouma wa chelsea
MAKALA NA BARTHAPROSPER
Maoni