Tetes za ligi kuu uingereza......

Vyanzo vya taaarifa vidogo klabuni Everton vinasema kwamba dau lq lukaku kuelekea old Trafford limekubalika kwa £78M  Jose M alimuuza straika huyo kwa dau la £24 alivyokuwepo klabun Chelsea ......A.Conte amekuwa akimtaka mchezaji huyo ila Everton walmkazia shart Chelsea amwage £100 ......., Wayne Rooney ameripotiwa huenda akareje kunako Toffes wikiendi hii mchezaji huyo wa zaman alitoka Everton na kujiung na united ndoto z mchezaji huyo kama atahama ligi atarud klabun kwake.....,

Maoni