Klabu ya Chelsea huenda ikakamilisha usajili wake wa kumtwaa kiungo wa Monaco T.Bakayoko usajili wa huyu mfaransa ulichelewa kutokana na majeraha ya mchezaji huyo yaliyomkumbuka ; klabu ya stoke city imekataa dau kutoka klabuni west ham ya kumtaka Marc Autonovic dau la 15£M ila ilisemekana autonovic anataka kuondoka klabuni stoke city mkataba wake unaishi 2020 ila west ham inampango wa kuboresha ofa ya kumtwaa nyota huyo
Maoni