Dominic Solanke amejiunga rasimi klabuni Liverpool kutoka Chelsea solanke aliyeisaidia timu ya taifa ya England kuwa bigwa wa dunia kwa wachezaji chini umri wa miaka 20 na kutwaa taji hilo na kukataa kiu ya kombe la kimataifa tangia mwaka 1966. Romelu lukaku leo katambulishwa rasmi klabuni Manchester united huko Los Angeles California ..........atajiunga na klabu hiyo inapofanya ziara yake nchini marekani ......
Maoni