Wayne Rooney karudi klabuni Everton Rasmi tangu mwaka 2004 Wayne aliondoka Everton akiwa na miaka 18 tu sasa yuko ndani ya Goodson park mbele ya waandishi wa habari kwa Mara ya kwanza yuko na Ronald koeman ......wayne atavaa namba 10 katika klabu hiyo ya Liverpool Rooney ameacha rekodi ya ufungaji bora klabuni Manchester united na timu ya taifa ya uingereza
Maoni